Mkutano wa taasisi wanachama wa TASUNE/MOSPAT kuweka mkakati wa mradi wa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa (SET – Skills for Employability Tanzania) FOA imekuwa member rasmi.